![]() |
Kumekuwa na sitofahamu inayoendelea hivi sasa kumuhusu muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Chuchu Hans na Ray KIgosi ,kwamba huenda wawili hawa hawapo pamoja kwa sasa.
Kupitia instagram page ya kwake Vicent Kigosi aka Ray aliandika ujumbe uliopelekea watu kuona kuna shida kwenye mahusiano yake.
'
''HIVI KWANINI UKIACHANA NA MWANAMKE KASHFA KUBWA ANAYEONA INAFAA KUKUPA LAZIMA AKWAMBIE UNA KIBAMIA AU HUWEZI SHOO! MPAKA LEO SIJAPATA JIBU.. VIPI WEWE MDAU HUJAWAHI KUKUTANA NA KITU KAMA. Ameandika Ray the great
Licha ya Ray kuandika hivyo baadae Chuchu Hans akaandika caption iliyowaachia maswali mengi mashabiki zake kujiuliza hawa watu wameachana au laah!
''LICHO JIFUNZA…..KTK MAISHA YA MAHUSIANO..
1.MUNGU HAKUPI WAKUFANANA NAE… (10kwq mmoja)
2.USITAMANI CHA MWENZIO MANA HUJUI YA NDANI. 3.UVUMILIVU UNAFIKAGA MWISHO UNAJIKUTA UNAKATA TAMAA. 4.MILUZI MINGI IN FAIDA NA HASARA YAKE..(Ishi utakavyo)
5.KUONGEA NA MUNGU NA KUMUOMBA …
7.KUISHI UKIWA WEWE..
8.OMBEA WATU HERI NA HERI HUANZA NAWE..
9.MPE MDA ANAEKUTHAMINI NA KUKUJALI MANA MAISHA YA SASA YATUENDESHA SPEED..
10.SIO WOTE WAKUTAKIAE HERI…...Aliandika Chuchu Hans
Post a Comment