![]() |
Mwanadada Paulah Kajala kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi kuwa anajutia sana kutoka kimapenzi na msanii wa muziki marioo ambapo paulah anadai kuwa
Wakati marioo Akitaka kushoto Paulah hakumuhitaji yule video vixen aliyechaguliwa na marioo ndipo akaenda kuchukua mwingine na kumleta lakini Cha ajabu marioo alimkataa na kumtaka yule wa mwanzo
Post a Comment