HARMONIZE NA IBRAAH NI NDUGU WANAWACHANGANYA WATU

 Msanii harmonize ametangaza ujio wa kazi yake mpya ambayo kamshirikisha ibraah japo kuwa Wawili Hawa wanatajwa kuwa na bifu nzito baada ya ugomvi wao



Cha kushangaza ni kuwa harmonize na ibraah inaonekana hawana tofauti kabisa ila ni jinsi ambavyo wameamua kuweka umbali kidogo wa kuwachanganya mashabiki na kupata tension ya kufuatiliwa 

Post a Comment

Previous Post Next Post