DIATTA : NILIPOFIKA ULAYA NDIYO NIMEKUWA MZURI




 Nyota wa Mpira wa Miguu kutokea Senegal Keprin Diatta amefunguka machach kuhusu mabinti warembo wa ulaya na pesa ambapo amesema kuwa..


“Nakumbuka mabinti wengi sana walinikwepa wakisema mimi ni mbaya , lakini Mara baada ya kusaini mkataba wangu wa kwanza wa kucheza soka Ulaya , mabinti hao hao na wengine wengi walinitumia jumbe na kusema nimekuwa handsome hali ya hewa ya Ulaya imenibadilisha


“Kwa kweli nilijiangalia kwenye kioo sikuona mabadiliko ndio nikaamini wanawake mbele ya pesa wanaweza kusema na kufanya chochote” Alisema -Keprin 


Una lolote la kuchambua kwenye hili?

Post a Comment

Previous Post Next Post