DIAMOND ALIVYOMLILIA RAILA ODINGA


 Msanii wa muziki wa bongo fleva ameungana wa wana Afrika mashariki wengine kutoa Salamu za pole kwa raia wa Kenya kufatia kifo cha Raila Odinga.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram story Diamond Platnumz amepost picha akiwa na Raila Odinga na kuandika ujumbe wa rambirambi.


''Mwenyez Mungu Ailaze Roho yako Mahali Pema peponi Amin'' Ameandika -Diamond Platnumz

Post a Comment

Previous Post Next Post