JINSI MACHOZI YA MAC VOICE YANAVYOMTESA RAYVANNY


 Ni muda wa mwaka mmoja na miezi kadhaa Sasa tangu Mac voice atoweke kwenye sanaa ya muziki, 


Licha ya kunyang'ang'anywa kila kitu na ilikuwa record lebel yake kuanzia nyumba, gari Hadi akaunti zote za mitandao ya kijamii ikiwemo na YouTube, 


Mac voice hajawahi kutoka hadharani kufanya interview yeyote au kuongea chochote kibaya kuhusu waajiri wake wa zamani mwamba aliamua akae kimya na kumuachia mungu kila kitu kiufupi aliondoka kimya kimya tofauti na wasanii wa lebbel zingine 


Lebbel hiyo ya zamani ya Mac voice ipo chini ya msanii Rayvanny

Post a Comment

Previous Post Next Post