KAJALA AMUOMBA HARMONIZE AMFANYIE KITU HIKI KIDOGO


 Baada ya tukio la harmonize kumfuata Kajala na kukumbatia kwenye Michezo ya Samia Cup 

Kajala ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa #snapchat amemuomba ex wake huyo #harmonize kuacha mazoea na yeye maana walishaachana , juma lokole ndiyo alimchochea harmo kwenda kumkubatia ex wake kwenye umati wa watu..

Post a Comment

Previous Post Next Post