DIAMOND AMFANYIA SURPRISE HII KUBWA ZUCHU


 Diamond Platnumz aliahidi kumuoa Zuchu kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini ikashindikana na hakuna sababu ya msingi iliyopelekea kutofungwa kwa ndoa Yao.


Leo baada ya mwezi mtukufu kuisha Zuchu amepost picha akiwa katika vazi la Harusi 😃.


Je, Ndoa Yao imekaribia au hakuna ndoa hapa 😃.


Post a Comment

Previous Post Next Post