Klabu ya Real Madrid C.F. inaripotiwa kuwa hivi sasa wako tayari kumuuza Vini Jr ikiwa watapokea ofa nzuri na kubwa kutoka klabu ya Saudi Pro-League (Al Ahli Jeddah) katika dirisha kubwa lijalo la usajili.
Real Madrid C.F wamechoshwa na mazungumzo ya kuongeza mkataba dhidi ya Vini Jr ambayo mpaka Sasa hayafikiwa makubaliano.
Source: [ Football Transfers ] & [ Derek Katey Caesar ]
Post a Comment