![]() |
@nana_dollz amewaelezea namna alivvyojenga Nyumba yake Sio kwa kujengewa na mwanaume bali Hela aliyokuwa akipewa ya matumizi kwa Wiki alikuwa anaidunduliza anajinyima na kuweka Kwenye Ujenzi.
pia amesema yeye ni aina ya mwanamke ambaye anaweza kutumia milion 5 mpaka 10 kwa week tu kama matumizi madogo madogo.
Una maoni gani kwenye hili................................
Post a Comment