HARMONIZE AFUNGUKA ALIKIBA KUIKATAA CHENI YAKE


 Nilitaka kumvalisha Alikiba cheni zangu kwa upendo na uzuri, lakini alikataa nakusema nitamwibia nyota ya uimbaji. Bien alikubali hivyo akauziba huo aibu. 


Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmonize akiwa kwenye maojiano Alifunguka kuhusu tukio la Alikiba kukataa kupokea cheni yake kipindi alipotaka kumvisha kule zanzibar kwenye ugawaji wa Tuzo za TRACE AWARDS mwanzoni mwa mwaka huu.


Unahisi Alikiba alifanya vyema....

Post a Comment

Previous Post Next Post