![]() |
Kwa muhimu wa Mtangazaji wa wasafi Fm Juma Lokole anadai kuwa ndoa ya Jux na Pricyla imevunjika kutokana na maswala ya kifamilia 😀.
Juma Lokole amepost picha ya Katika ukurasa wake na video kuhashiria ndoa imekufa ingawa mpaka sasa hakuna uthibitisho wa jambo hilo na jux na pricyla wapo nchini Nigeria kwaajili ya sherehe Yao nyingine ya ndoa Yao 😀
![]() |
Post a Comment