![]() |
Za ndaaani..
Kiungo mahiri wa Simba Debora Fernandes mwishoni mwa msimu huu ataondoka klabuni hapo kufatia kutopewa mda wa kucheza lakini pia kuwa na kutoelewana na Kocha mkuu Fadlu David’s na baadhi ya viongozi.Hii inasikitisha sana kuona baadhi ya wachezaji wanaondoka kufatia misunderstanding na klabu mfano mzuri ni Moses Phiri.
Post a Comment