![]() |
Msanii @_kusah_ amefunguka kuwa hana kabisa mipango ya kuachana na mke wake @auntyezekiel kwasababu ana kila kitu ambacho yeye anakitaka
"Mimi nikiingia sehemu mpaka Umati ukajua nipo ujue nina malengo napo halafu pia naangalia nimebakiza kitu gani nini? nina watoto zaidi ya mmoja nina mwanamke ana akili na ananiheshimu hata kama tukipishana nikitoka hapo nikienda sehemu nyingine tutapishana tu''
"Kwahiyo mimi kwa malengo sijui kama tutaachana tayari tumeoana niko huru kuongea popote na ndoa tulifungia nyumbani Bumbuli Tanga''
Post a Comment