YANGA YAKATAA OFA YA ZAMALEK KWA MZIZE


  OFA ya Zamalek waliyoituma Kwenda Yanga SC wakihitaji Kupata Huduma ya Mshambuliaji Clement Mzize (21) ilikuwa ni USD 350K.


Yanga SC wao wanamthaminisha Clement Mzize sio chini ya USD 650K


Ofa ya Zamalek iliyotumwa sio mahitaji ya klabu ndio maana mapema Sana Yanga SC wakaikataa.


Zamalek wako Serious Sana na Dili hili na wanajiandaa Kutuma Ofa Nyingine.



Post a Comment

Previous Post Next Post