DIVA: SIWEZI KUISHI VIJIJINI NAOGOPA VUMBI


  

Siwezi Kuishi Vijijini Naogopa

Vumbi - Mtangazaji Diva The Bawse


Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa

Kipindi cha Lavidavi pale Wasafi FM Diva the bawse amefunguka haya 


"Nateseka sana na haya Maisha sababu Ya allergies, My allergies ziko very strong, unaeza tapika na kukohoa damu yan ... nimeishi na hii hali muda sana mafua ndio huwa yananitesa hoiii!. vumbi kidogo chafya chafya mafua kuwashwa homa kalliii mpaka unashangaa!"


"Siwez fanya usafi siwez lalia shuka wala mto mchafu yan wafanyakaz wangu inanilazimu kuwa nawafokea sana maana sina jinsi zaid ya ku keep up na lifestyle ya kutokuwa na vumbi lolote around, siwez ishi vijijini ktk vumbi siwez safari usafiri wa kawaida ulio na vumbi ata la hali ya hewa ya kawaida siku hizi hata kutoka ni nadra inanilazimu kwenda ofisin na kurud ili nisipate vumbi sababu Ya Hizi mvua" - Diva The Bawse


Post a Comment

Previous Post Next Post